Surah Fatir aya 15 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿۞ يَا أَيُّهَا النَّاسُ أَنتُمُ الْفُقَرَاءُ إِلَى اللَّهِ ۖ وَاللَّهُ هُوَ الْغَنِيُّ الْحَمِيدُ﴾
[ فاطر: 15]
Enyi watu! Nyinyi ndio wenye haja kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha, Msifiwa.
Surah Fatir in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
O mankind, you are those in need of Allah, while Allah is the Free of need, the Praiseworthy.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Enyi watu! Nyinyi ndio wenye haja kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha, Msifiwa.
Enyi watu! Nyinyi ndio mnao mhitajia Mwenyezi Mungu kwa kila kitu. Na Yeye Mwenyezi Mungu peke yake ndiye Mwenye kujitosha, hawahitajii viumbe vyake. Na Yeye ndiye Mwenye kustahiki kusifiwa kwa kila hali
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Siku hiyo ziko nyuso zitazo nawiri,
- Na wote tuliwapigia mifano, na wote tuliwaangamiza kabisa kabisa.
- Na Mola wako Mlezi haangamizi miji mpaka ampeleke Mtume katika miji yake mikuu awasomee Ishara
- Siku hiyo ndio Tukio litatukia.
- Kwa hakika katika haya yapo mazingatio kwa wanao ogopa.
- Basi tukaufanya upepo umtumikie, ukenda kwa amri yake, popote alipo taka kufika.
- Na bila ya shaka mtajua khabari zake baada ya muda.
- Wala si mzaha.
- Na kwamba hakika Yeye ndiye Mola Mlezi wa nyota ya Shii'ra.
- Na ninawapururia muhula; hakika hila zangu ni imara.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Fatir with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Fatir mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Fatir Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers