Surah Assaaffat aya 152 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَدَ اللَّهُ وَإِنَّهُمْ لَكَاذِبُونَ﴾
[ الصافات: 152]
Mwenyezi Mungu amezaa! Ama hakika bila ya shaka hao ni waongo!
Surah As-Saaffat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
" Allah has begotten," and indeed, they are liars.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Mwenyezi Mungu amezaa! Ama hakika bila ya shaka hao ni waongo!.
Ewe mwenye kusikia! Yazingatie maneno yao. Hakika wao kwa uwongo wao wanasema: Mwenyezi Mungu amezaa! Na hali Yeye ametakasika na upungufu kama huo wa kuwa mzazi au kuzaliwa. Na hakika bila ya shaka hao ni waongo kwa usemi huo, kwa ushahidi wa dalili nyingi za Upweke wake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wala hamlipwi ila hayo mliyo kuwa mkiyafanya.
- Walipo iona adhabu yetu walisema: Tumemuamini Mwenyezi Mungu kuwa ni wa pekee, na tunaikataa miungu
- Lakini wakiacha basi Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe Mwenye kurehemu.
- Ewe Nabii! Pambana na makafiri na wanaafiki, na kuwa mgumu kwao! Na makaazi yao ni
- Tena tutawasimulia kwa ilimu; wala Sisi hatukuwa mbali.
- Na kwamba Yeye ndiye aliye waangamiza A'di wa kwanza,
- Na litapulizwa barugumu, wazimie waliomo mbinguni na waliomo katika ardhi, isipo kuwa aliye mtaka Mwenyezi
- Hao wote waliwakadhibisha Mitume; basi wakastahiki adhabu yangu.
- Au ndio wanasema: Sisi ni wengi tutashinda tu.
- Mwenyezi Mungu anakuusieni juu ya watoto wenu: Fungu la mwanamume ni kama fungu la wanawake
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Assaaffat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Assaaffat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Assaaffat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers