Surah Yunus aya 17 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّنِ افْتَرَىٰ عَلَى اللَّهِ كَذِبًا أَوْ كَذَّبَ بِآيَاتِهِ ۚ إِنَّهُ لَا يُفْلِحُ الْمُجْرِمُونَ﴾
[ يونس: 17]
Basi ni nani aliye dhaalimu zaidi kuliko yule anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu na akazikanusha Ishara zake? Hakika hawafanikiwi wakosefu.
Surah Yunus in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
So who is more unjust than he who invents a lie about Allah or denies His signs? Indeed, the criminals will not succeed
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Basi ni nani aliye dhaalimu zaidi kuliko yule anaye mzulia uwongo Mwenyezi Mungu na akazikanusha Ishara zake? Hakika hawafanikiwi wakosefu.
Hapana mtu aliye jidhulumu nafsi zaidi kuliko anaye kufuru na akamzulia uwongo Mwenyezi Mungu, au akazikanusha Ishara za Mwenyezi Mungu alizo kuja nazo Mtume wake. Hakika hafuzu kafiri katika vitendo vyake. Naye amekhasiri khasara iliyo wazi kwa ukafiri wake na amemghadhibisha Mwenyezi Mungu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Yeye ndiye anaye fufua na anaye fisha. Na kwake mtarejeshwa.
- Na hakuwafikia Mtume ila walimkejeli.
- Na piganeni nao mpaka pasiwepo fitina, na Dini iwe ya Mwenyezi Mungu tu. Na kama
- Na kaumu ngapi tuliziangamiza zilizo kuwa na mapambo mazuri zaidi na wazuri zaidi kwa kuwatazama!
- Na bila ya shaka tuliwaokoa Wana wa Israili katika adhabu ya kuwadhalilisha,
- Na kwa ajili ya Mola wako Mlezi, subiri!
- Na tulimwita upande wa kulia wa mlima na tukamsogeza kunong'ona naye.
- Na mnapo adhinia Sala wao wanaichukulia maskhara na mchezo. Hayo ni kwa sababu wao ni
- Akasema: Enyi watu wangu! Kwa nini mnauhimiza uwovu kabla ya wema? Kwa nini hamuombi msamaha
- Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Lakini wasio iamini Akhera nyoyo zao zinakataa, nao wanajivuna.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yunus with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yunus mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yunus Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers