Surah Insan aya 19 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿۞ وَيَطُوفُ عَلَيْهِمْ وِلْدَانٌ مُّخَلَّدُونَ إِذَا رَأَيْتَهُمْ حَسِبْتَهُمْ لُؤْلُؤًا مَّنثُورًا﴾
[ الإنسان: 19]
Na watawazungukia kuwatumikia wavulana wasio pevuka, ukiwaona utawafikiri ni lulu zilizo tawanywa.
Surah Al-Insan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
There will circulate among them young boys made eternal. When you see them, you would think them [as beautiful as] scattered pearls.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na watawazungukia kuwatumikia wavulana wasio pevuka, ukiwaona utawafikiri ni lulu zilizo tawanywa.
Na watakuwa wanawazunguka vijana ambao hawabadiliki hali yao, kwa furaha na sururi. Ukiwaona wanapo zunguka kwa wepesi na uchangamfu, utawadhania kwa uzuri wao na usafi wa rangi zao, kama lulu zilizo tandazwa mbele yako zinangara.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi tukamtolea fidia kwa dhabihu mtukufu.
- Enyi mlio amini! Toeni katika tulivyo kupeni kabla haijafika Siku ambayo hapatakuwapo biashara, wala urafiki,
- Hakika hao wanao kuita nawe uko nyuma ya vyumba, wengi wao hawana akili.
- Kwa hakika wale walio kuwa wakosefu walikuwa wakiwacheka walio amini.
- Hakika nyinyi na hao mnao waabudu badala ya Mwenyezi Mungu ni kuni za Jahannamu; huko
- Ni kama kwamba wao siku watapo iona (hiyo Saa) hawakukaa ila jioni moja tu, au
- Na sema: Alhamdu Lillahi, Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu. Yeye atakuonyesheni Ishara zake,
- Na ukiwauliza: Ni nani aliye ziumba mbingu na ardhi. Bila ya shaka watasema: Mwenyezi Mungu.
- Apate kukutengenezeeni vitendo vyenu na akusameheni madhambi yenu. Na anaye mt'ii Mwenyezi Mungu na Mtume
- Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini mimi.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Insan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Insan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Insan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers