Surah shura aya 25 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَهُوَ الَّذِي يَقْبَلُ التَّوْبَةَ عَنْ عِبَادِهِ وَيَعْفُو عَنِ السَّيِّئَاتِ وَيَعْلَمُ مَا تَفْعَلُونَ﴾
[ الشورى: 25]
Naye ndiye anaye pokea toba kwa waja wake, na anasamehe makosa, na anayajua mnayo yatenda.
Surah Ash_shuraa in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And it is He who accepts repentance from his servants and pardons misdeeds, and He knows what you do.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Naye ndiye anaye pokea toba kwa waja wake, na anasamehe makosa, na anayajua mnayo yatenda.
Ni Mwenyezi Mungu peke yake ndiye Mwenye kupokea toba kwa watu wanao mtii hata kwa makosa yaliyo zaidi kuliko yale wanayo ombea toba. Na Yeye ndiye anaye samehe madhambi yote isipo kuwa shirki, kwa kufadhili na kurehemu; na anayajua myatendayo ikiwa ya kheri au shari.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Watasema walio jitukuza: Hakika sote sisi tumo humo humo! Kwani Mwenyezi Mungu kesha hukumu baina
- Hizi ni katika khabari za ghaibu tulizo kufunulia. Na hukuwa pamoja nao walipo azimia shauri
- Na juu ya hivyo ameitandaza ardhi.
- Basi akaifuata njia.
- Na kitawekwa kitabu. Basi utawaona wakosefu wanavyo ogopa kwa yale yaliomo humo. Na watasema: Ole
- Akasema: Mola wangu Mlezi nijaalie Ishara. Akasema Ishara yako ni kuwa hutasema na watu kwa
- Na anaye kufuru, isikuhuzunishe kufuru yake. Kwetu ndio marudio yao, na hapo tutawaambia waliyo yatenda.
- Na nini kitakacho kujuulisha Siku ya Malipo ni siku gani?
- Na lau kuwa watu wa miji wangeli amini na wakamchamngu, kwa yakini tungeli wafungulia baraka
- Na wale wanao waudhi Waumini wanaume na wanawake pasina wao kufanya kosa lolote, bila ya
Quran Surah in Swahili :
Download Surah shura with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah shura mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter shura Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



