Surah Furqan aya 31 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَكَذَٰلِكَ جَعَلْنَا لِكُلِّ نَبِيٍّ عَدُوًّا مِّنَ الْمُجْرِمِينَ ۗ وَكَفَىٰ بِرَبِّكَ هَادِيًا وَنَصِيرًا﴾
[ الفرقان: 31]
Na vivi hivi tumemfanyia kila Nabii adui miongoni mwa wakosefu, na Mola wako Mlezi anatosha kuwa Mwenye kuongoa na Mwenye kunusuru.
Surah Al-Furqan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And thus have We made for every prophet an enemy from among the criminals. But sufficient is your Lord as a guide and a helper.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na vivi hivi tumemfanyia kila Nabii adui miongoni mwa wakosefu, na Mola wako Mlezi anatosha kuwa Mwenye kuongoa na Mwenye kunusuru.
Kama tulivyo wajaalia watu wako, ewe Muhammad, wanavyo kufanyia uadui na kukukadhibisha, basi kadhaalika tulimjaalia kila Nabii ana maadui miongoni mwa wakosefu, wanao mfanyia uadui na wanaupinga wito wake. Na Mwenyezi Mungu atakunusuru, na atakuongoa mpaka uwashinde. Na Yeye anakutosha kwa uwongofu na kukunusuru.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Je! Umemwona anaye kadhibisha Malipo?
- Kisha akayafanya makavu, meusi.
- Na Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza.
- Hakika Shet'ani ni adui yenu, basi mfanyeni kuwa ni adui. Kwani yeye analiita kundi lake
- Mwenyezi Mungu ndiye Muumba wa kila kitu, na Yeye ndiye Mlinzi juu ya kila kitu.
- Basi alimwonyesha Ishara kubwa.
- Na kwa mti huo mtajaza matumbo.
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Na lau kuwa wangeli ishika Taurati na Injili na yote waliyo teremshiwa kutokana na Mola
- Na atajitenga mbali nayo mpotovu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Furqan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Furqan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Furqan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers