Surah Furqan aya 30 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقَالَ الرَّسُولُ يَا رَبِّ إِنَّ قَوْمِي اتَّخَذُوا هَٰذَا الْقُرْآنَ مَهْجُورًا﴾
[ الفرقان: 30]
Na Mtume alikuwa akisema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wameifanya hii Qur'ani ni kihame.
Surah Al-Furqan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the Messenger has said, "O my Lord, indeed my people have taken this Qur'an as [a thing] abandoned."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na Mtume alikuwa akisema: Ee Mola wangu Mlezi! Hakika watu wangu wameifanya hii Qurani ni kihame.
Na Mtume alisema akimshitakia Mwenyezi Mungu kwa taabu anazo zipata kwa watu wake: Hakika hawa wameiacha Qurani na wameihama, na wameshikilia katika kuipuuza, na kuifanyia inda na uadui.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu.
- Na watawazungukia kuwatumikia wavulana wasio pevuka, ukiwaona utawafikiri ni lulu zilizo tawanywa.
- Wakamkadhibisha. Basi kwa hakika watahudhurishwa;
- Isipo kuwa waja wa Mwenyezi Mungu walio safishwa.
- Na wajumbe wetu walipo mjia Ibrahim na bishara, walisema: Hakika sisi hapana shaka tutawahiliki watu
- Na wanyama wa mwituni wakakusanywa,
- Wala mimi sikutakini ujira juu yake; ujira wangu hauko ila kwa Mola Mlezi wa walimwengu
- Na kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji madhaifu.
- Lakini wito wangu haukuwazidisha ila kukimbia.
- Na tumeacha katika mji huo Ishara ilio wazi kwa watu wanao tumia akili zao.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Furqan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Furqan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Furqan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers