Surah Maidah aya 102 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَدْ سَأَلَهَا قَوْمٌ مِّن قَبْلِكُمْ ثُمَّ أَصْبَحُوا بِهَا كَافِرِينَ﴾
[ المائدة: 102]
Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa.
Surah Al-Maidah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
A people asked such [questions] before you; then they became thereby disbelievers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa.
Katika jamaa walio kutangulieni walikuwapo walio uliza mfano wa haya, mambo mazito mazito; na Manabii wao walipo wakalifisha ya kufanya wakaona mazito kuyatenda, wakayaacha, na wakawa ni wenye kuyakanya. Kwani Mwenyezi Mungu hupendelea wepesi, wala hapendelei uzito; na huwakalifisha watu kwa wanayo yaweza.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Alipo waambia ndugu yao, Hud: Je! Hamchimngu?
- Na katika hao mnayo manufaa kadhaa wa kadhaa, na mnapata kwao haja ziliomo vifuani mwenu;
- Ile siku ambayo Mwenyezi Mungu atapo wakusanya Mitume awaambie: Mlijibiwa nini? Watasema: Hatuna ujuzi; hakika
- Na kila kilichomo mbinguni na kilichomo ardhini ni cha Mwenyezi Mungu; na mambo yote yatarejea
- Kamfundisha mtu aliyo kuwa hayajui.
- Na ambao wanaisadiki Siku ya Malipo,
- Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea.
- Mwenye kujua siri na dhaahiri, Mwenye nguvu, Mwenye hikima.
- Nuhu akasema: Ewe Mola wangu Mlezi! Mimi najikinga kwako nisikuombe nisio na ujuzi nalo. Na
- Inapo mgusa shari hupapatika.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Maidah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Maidah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Maidah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



