Surah Naziat aya 44 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِلَىٰ رَبِّكَ مُنتَهَاهَا﴾
[ النازعات: 44]
Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake.
Surah An-Naziat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
To your Lord is its finality.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Kwa Mola wako Mlezi ndio mwisho wake.
Ujuzi wa hayo uko kwa Mola wako Mlezi tu, si kwa mwenginewe. (Nabii Isa a.s. ambaye Wakristo wanasema ni Mwana wa Mungu, au ndiye Mungu, pia anasimuliwa katika Biblia kuwa hakuijua Saa na Siku ya Kiyama. Injili ya Mathayo inanukulu maneno ya Yesu: -Walakini habari ya siku ile na saa ile hakuna aijuaye, hata malaika walio mbinguni, wala Mwana, ila Baba peke yake.-)
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ili (Mwenyezi Mungu) awaulize wakweli juu ya ukweli wao. Na amewaandalia makafiri adhabu chungu.
- Yeye humchagua kumpa rehema zake amtakaye; na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye fadhila kubwa.
- Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri,
- Huu ni ukumbusho. Na hakika wachamngu wana marudio mazuri.
- Enyi mlio amini! Mmeandikiwa Saumu, kama waliyo andikiwa walio kuwa kabla yenu ili mpate kuchamngu.
- Au mnazo ahadi za viapo juu yetu za kufika Siku ya Kiyama ya kuwa hakika
- Basi leteni Kitabu chenu kama mnasema kweli.
- Na Yeye ndiye aliye ziumba mbingu na ardhi katika siku sita. Na Kiti chake cha
- Na ilipo waangukia adhabu wakasema: Ewe Musa! Tuombee kwa Mola wako Mlezi kwa aliyo kuahidi.
- Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Naziat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Naziat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Naziat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers