Surah An Nur aya 56 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَأَقِيمُوا الصَّلَاةَ وَآتُوا الزَّكَاةَ وَأَطِيعُوا الرَّسُولَ لَعَلَّكُمْ تُرْحَمُونَ﴾
[ النور: 56]
Na shikeni Sala, na toeni Zaka, na mt'iini Mtume, ili mpate kurehemewa.
Surah An-Nur in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And establish prayer and give zakah and obey the Messenger - that you may receive mercy.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na shikeni Swala, na toeni Zaka, na mtiini Mtume, ili mpate kurehemewa.
Na shikeni Swala kwa ukamilifu wa nguzo katika utulivu na unyenyekevu, ili ipate kuwa inazuia uchafu na mambo mabaya. Na wapeni Zaka wanao stahiki. Na mtiini Mtume kwa yote anayo kuamrisheni, ili mpate kutaraji rehema ya Mwenyezi Mungu na radhi yake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ili ahakikishe Haki na auvunje upotovu na wangachukia wakosefu.
- Wala nyinyi hamuabudu ninaye muabudu.
- Ili tuyafanye hayo kuwa ni waadhi kwenu na kila sikio linalo sikia liyahifadhi.
- Ati anaye umba ni kama asiye umba? Basi hebu, hamkumbuki?
- Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa?
- Hakika wale walioko kwa Mola wako Mlezi hawajivuni wakaacha kumuabdu, na wanamtakasa na wanamsujudia.
- Kisha yakawafikia waliyo kuwa wakiahidiwa,
- Musa akawaambia watu wake: Ombeni msaada kwa Mwenyezi Mungu, na subirini. Hakika ardhi ni ya
- Akasema: Ilimu yake iko kwa Mola wangu Mlezi katika Kitabu. Mola wangu Mlezi hapotei wala
- Kwa hakika hayo ni ukelele mmoja tu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah An Nur with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah An Nur mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter An Nur Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers