Surah Hud aya 59 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَتِلْكَ عَادٌ ۖ جَحَدُوا بِآيَاتِ رَبِّهِمْ وَعَصَوْا رُسُلَهُ وَاتَّبَعُوا أَمْرَ كُلِّ جَبَّارٍ عَنِيدٍ﴾
[ هود: 59]
Na hao ndio kina A'adi. Walizikanusha Ishara za Mola wao Mlezi, na wakawaasi Mitume wake, na wakafuata amri ya kila jabari mwenye inda.
Surah Hud in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And that was 'Aad, who rejected the signs of their Lord and disobeyed His messengers and followed the order of every obstinate tyrant.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hao ndio kina aadi. Walizikanusha Ishara za Mola wao Mlezi, na wakawaasi Mitume wake, na wakafuata amri ya kila jabari mwenye inda.
Hao, basi, ndio kina aadi! Walizikataa hoja zote zilizo wazi, na wakawaasi Mitume wote wa Mwenyezi Mungu, kwa vile kumuasi yule Mtume wao aliye tumwa kwao, na vile kumtii kila aliye kuwa jeuri na mwingi wa inda katika maraisi wao na wakubwa wao!
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Akasema: Naam! Nanyi bila ya shaka mtakuwa katika wa karibu nami.
- Walipo ingia kwake na wakasema: Salama! Yeye akasema: Hakika sisi tunakuogopeni.
- Na kwa hakika Mola wako Mlezi ndiye Mwenye nguvu Mwenye kurehemu.
- Kisha tunakivutia kwetu kidogo kidogo.
- Na ambaye Mwenyezi Mungu anamwongoa hana wa kumpotoa. Je! Mwenyezi Mungu si Mwenye nguvu anaye
- Sema: Ewe Mwenyezi Mungu! Muumba mbingu na ardhi! Mjuzi wa yasiyo onekana na yanayo onekana!
- Kama kutokota kwa maji ya moto.
- Na katika Ishara zake ni vyombo vinavyo kwenda na kurejea baharini kama vilima.
- Lau kuwa hawa ni miungu, wasingeli ingia. Na wote watadumu humo.
- Hatamki neno ila karibu yake yupo mwangalizi tayari.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hud with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hud mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hud Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



