Surah Hud aya 58 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَمَّا جَاءَ أَمْرُنَا نَجَّيْنَا هُودًا وَالَّذِينَ آمَنُوا مَعَهُ بِرَحْمَةٍ مِّنَّا وَنَجَّيْنَاهُم مِّنْ عَذَابٍ غَلِيظٍ﴾
[ هود: 58]
Ilipo fika amri yetu, tulimwokoa Hud na walio amini pamoja naye, kwa rehema itokayo kwetu. Na tukawaokoa na adhabu ngumu.
Surah Hud in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And when Our command came, We saved Hud and those who believed with him, by mercy from Us; and We saved them from a harsh punishment.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ilipo fika amri yetu, tulimwokoa Huud na walio amini pamoja naye, kwa rehema itokayo kwetu. Na tukawaokoa na adhabu ngumu.
Na ilipo kuja amri yetu ya kuwahiliki qaumu ya aadi tulimwokoa Hud, na walio amini pamoja naye, kutokana na adhabu ya upepo mkali ulio wahiliki, na tukawaokoa na adhabu kubwa ya duniani na Akhera. Na hayo ni kwa sababu ya rehema yetu juu yao, kwa kuwawezesha kushika Imani.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kwa kutakabari kwao katika nchi, na kufanya vitimbi vya uovu. Na vitimbi viovu havimsibu ila
- Na tukawafuatishia laana katika dunia hii, na Siku ya Kiyama watakuwa miongoni mwa wanao chusha.
- Hakika Yeye ndiye Mwenye kusikia Mwenye kujua.
- Sivyo hivyo! Yeyote anaye elekeza uso wake kwa Mwenyezi Mungu naye ni mtenda mema, basi
- Na akaufanya mwezi ndani yake uwe nuru, na akalifanya jua kuwa taa?
- Na Mariamu binti wa Imrani, aliye linda ubikira wake, na tukampulizia humo kutoka roho yetu,
- Lakini Firauni alimuasi huyo Mtume, basi tukamshika mshiko wa mateso.
- Na Jahannamu itadhihirishwa kwa mwenye kuona,
- Wameikanusha Haki ilipo wajia. Basi zitawajia khabari za yale waliyo kuwa wakiyakejeli.
- Na mnapo amkiwa kwa maamkio yoyote, basi nanyi itikieni kwa yaliyo bora kuliko hayo, au
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hud with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hud mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hud Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



