Surah Yasin aya 60 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿۞ أَلَمْ أَعْهَدْ إِلَيْكُمْ يَا بَنِي آدَمَ أَن لَّا تَعْبُدُوا الشَّيْطَانَ ۖ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ﴾
[ يس: 60]
Je! Sikuagana nanyi, enyi wanaadamu, kuwa msimuabudu Shet'ani? Hakika yeye ni adui dhaahiri kwenu.
Surah Ya-Sin in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Did I not enjoin upon you, O children of Adam, that you not worship Satan - [for] indeed, he is to you a clear enemy -
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Je! Sikuagana nanyi, enyi wanaadamu, kuwa msimuabudu Shetani? Hakika yeye ni adui dhaahiri kwenu.
Enyi wanaadamu! Sikukuusieni kuwa msimfuate Shetani kwa utiifu kama kwamba ni mungu wa kuabudiwa. Hakika yeye ni adui yenu, aliye dhihirisha uadui wake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na walio amini watasema: Hivyo hawa ndio wale walio apa ukomo wa viapo vyao kuwa
- Na Mwenyezi Mungu anawajua vyema maadui zenu. Na Mwenyezi Mungu anatosha kuwa ni Mlinzi, na
- Na bila ya shaka walikwisha potea kabla yao wengi wa watu wa zamani.
- Na hatukuziumba mbingu na ardhi na vilivyomo ndani yake ila kwa ajili ya Haki. Na
- Na Firauni aliwapoteza watu wake wala hakuwaongoa.
- Umeona kama yeye akikanusha na anarudi nyuma?
- Naye yuko juu kabisa upeo wa macho.
- Mabustani na mizabibu,
- Siku hiyo marafiki watakuwa ni maadui, wao kwa wao, isipo kuwa wachamngu.
- Basi alipo mzaa alisema: Mola wangu Mlezi! Nimemzaa mwanamke - na Mwenyezi Mungu anajua sana
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yasin with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yasin mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yasin Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers