Surah Anam aya 72 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَأَنْ أَقِيمُوا الصَّلَاةَ وَاتَّقُوهُ ۚ وَهُوَ الَّذِي إِلَيْهِ تُحْشَرُونَ﴾
[ الأنعام: 72]
Na mshike Sala, na mcheni Yeye, na kwake Yeye ndiko mtako kusanywa.
Surah Al-Anam in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And to establish prayer and fear Him." And it is He to whom you will be gathered.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na mshike Swala, na mcheni Yeye, na kwake Yeye ndiko mtako kusanywa.
Waachilieni mbali hao washirikina baada ya kuwa mmewaita kwenye uwongofu, na nendeni kwenye ibada ya Mola wenu Mlezi. Na timizeni SWala kwa njia ya unyenyekevu ulio kamilika kabisa. Na mkhofuni Mwenyezi Mungu, na timizeni amri zake. Kwani kwake Yeye ndio mtakusanywa nyote nyinyi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wanasema: Ushindi huu ni lini, kama mnasema kweli?
- Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao bakora mia. Wala isikushikeni huruma
- Hakika Mola wako Mlezi yupo kwenye mavizio anawavizia.
- Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanamume na mwanamke. Na tumekujaalieni kuwa ni mataifa
- Ili awalipe walio amini na wakatenda mema kutokana na fadhila yake. Hakika Yeye hawapendi makafiri.
- Na mnacheka, wala hamlii?
- Au wanasema: Ana wazimu? Bali amewajia kwa Haki, na wengi wao wanaichukia Haki.
- Akasema: Humo mtaishi, na humo mtakufa, na kutoka humo mtatolewa.
- Usimfanye mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu, usije ukawa wa kulaumiwa uliye tupika.
- Akawafanya kama majani yaliyo liwa!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Anam with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Anam mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Anam Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers