Surah Nisa aya 80 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿مَّن يُطِعِ الرَّسُولَ فَقَدْ أَطَاعَ اللَّهَ ۖ وَمَن تَوَلَّىٰ فَمَا أَرْسَلْنَاكَ عَلَيْهِمْ حَفِيظًا﴾
[ النساء: 80]
Mwenye kumt'ii Mtume basi ndio amemt'ii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao.
Surah An-Nisa in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
He who obeys the Messenger has obeyed Allah; but those who turn away - We have not sent you over them as a guardian.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Mwenye kumtii Mtume basi ndio amemtii Mwenyezi Mungu. Na anaye kengeuka, basi Sisi hatukukutuma wewe uwe ni mlinzi wao.
Mwenye kumtii Mtume basi ndio amemtii Mwenyezi Mungu, kwani yeye haamrishi ila alicho amrisha Mwenyezi Mungu. Wala hakatazi ila alicho kataza Mwenyezi Mungu. Kwa hivyo kumtii yeye (Mtume s.a.w.) ndio kutenda na kuacha kwa utiifu wa Mwenyezi Mungu. Na mwenye kukataa kukutii wewe basi, kwani Sisi hatukukupeleka wewe ila uwe ni mbashiri na mwonyaji tu, sio uwe ni mlinzi wao na muangalizi wao, uwalindie vitendo vyao. Hayo ni yetu Sisi sio yako.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Nyinyi mmekuwa bora ya umma walio tolewa watu, kwa kuwa mnaamrisha mema na mnakataza maovu,
- Na tukakuumbeni kwa jozi?
- Akasema: Haki! Na haki ninaisema.
- Je! Kukaribishwa hivi si ndio bora, au mti wa Zaqqum?
- Mabustani na mizabibu,
- Sema (Ewe Mtume): Sikuombeni ujira juu ya haya, wala mimi si katika wadanganyifu.
- Na kipofu na mwenye kuona hawalingani.
- Hebu waulize: Je! Wao ni wenye umbo gumu zaidi au hao wengine tulio waumba. Hakika
- Kwani hawakutembea katika ardhi wakaona ulikuwaje mwisho wa walio kuwa kabla yao? Mwenyezi Mungu aliwaangamiza,
- Basi walipo kuja wachawi wakamwambia Firauni: Je! Tutapata ujira tukiwa sisi ndio tulio shinda?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nisa with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nisa mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nisa Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers