Surah Zukhruf aya 86 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَا يَمْلِكُ الَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِهِ الشَّفَاعَةَ إِلَّا مَن شَهِدَ بِالْحَقِّ وَهُمْ يَعْلَمُونَ﴾
[ الزخرف: 86]
Wala hao mnao waomba badala yake Yeye hawana uweza wa kumwombea mtu, isipo kuwa anaye shuhudia kwa haki, na wao wanajua.
Surah Az-Zukhruf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And those they invoke besides Him do not possess [power of] intercession; but only those who testify to the truth [can benefit], and they know.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wala hao mnao waomba badala yake Yeye hawana uweza wa kumwombea mtu, isipo kuwa anaye shuhudia kwa haki, na wao wanajua.
Na hio miungu yao wanayo iabudu badala ya Mwenyezi Mungu haimiliki uweza wa kuwaombea hao wanao waabudu. Lakini wenye kushuhudia kwa Tawhidi, yaani hao wanao amini ya kwamba Mwenyezi Mungu ndiye Mola wao Mlezi kwa haki, hao wanaweza kuombewa miongoni mwa Waumini atakao Mwenyezi Mungu kuwaombea.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ambao wanazitimiza amana zao na ahadi zao,
- Hakika tumekufungulia Ushindi wa dhaahiri
- Na hawi katika Watu wa Kitabu ila hakika atamuamini yeye kabla ya kufa kwake. Naye
- Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu.
- Na ardhi tumeitandaza na tukaiwekea milima, na tukaiotesha mimea mizuri ya kila namna.
- Ila maji yamoto sana na usaha,
- Kwa hakika wale wanao penda uenee uchafu kwa walio amini, watapata adhabu chungu katika dunia
- Wala usiwafukuze wanao mwomba Mola Mlezi wao asubuhi na jioni kwa kutaka radhi yake. Si
- Na wakasema: Kuweni Mayahudi au Wakristo ndio mtaongoka. Sema: Bali tunashika mila ya Ibrahim mwongofu,
- Na walio muamini Mwenyezi Mungu na Mitume wake, hao ndio Masidiqi na Mashahidi mbele ya
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Zukhruf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Zukhruf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Zukhruf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers