Surah Araf aya 92 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الَّذِينَ كَذَّبُوا شُعَيْبًا كَأَن لَّمْ يَغْنَوْا فِيهَا ۚ الَّذِينَ كَذَّبُوا شُعَيْبًا كَانُوا هُمُ الْخَاسِرِينَ﴾
[ الأعراف: 92]
Wale walio mkanusha Shua'ib wakawa kama kwamba hawakuwako. Walio mkanusha Shua'ib ndio walio kuwa wenye kukhasiri.
Surah Al-Araf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Those who denied Shu'ayb - it was as though they had never resided there. Those who denied Shu'ayb - it was they who were the losers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wale walio mkanusha Shuaib wakawa kama kwamba hawakuwako. Walio mkanusha Shuaib ndio walio kuwa wenye kukhasiri.
Hii ndio shani ya Mwenyezi Mungu na hao walio mkanusha Shuaib, na wakamtishia, na wakamwonya kuwa watamfukuza katika mji wao, na wakafanya kila kitu kuupinga wito wake. Wamehiliki wao na ukahiliki mji wao, ikawa kama kwamba humo hawakuwahi kuishi wale walio mkadhibisha Shuaib na wakadai kuwa ati atakaye mfuata atakuwa amekhasiri, na wakatilia nguvu madai hayo. Na lililo kuwa ni kuwa wao ndio walio poteza neema yao ya dunia na Akhera.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na kisha akajaalia uzao wake utokane na kizazi cha maji madhaifu.
- Humo watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada.
- Hata atakapo tujia atasema: Laiti ungeli kuwako baina yangu na wewe kama umbali baina ya
- Hakika Sisi tutawapelekea ngamia jike ili kuwajaribu, basi watazame tu na ustahamili.
- Na niisome Qur'ani. Na mwenye kuongoka, basi ameongoka kwa faida ya nafsi yake; na aliye
- (Musa) akasema: Hayo ndiyo tuliyo kuwa tunayataka. Basi wakarudi nyuma kwa kufuata njia waliyo jia.
- Alimwambia baba yake na watu wake: Mnaabudu nini?
- Na hakika wewe una tabia tukufu.
- Makundi kwa makundi upande wa kulia na upande wa kushoto!
- Je! Imekufikia khabari ya msiba wa kufudikiza?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Araf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Araf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Araf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers