Surah Nahl aya 98 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿فَإِذَا قَرَأْتَ الْقُرْآنَ فَاسْتَعِذْ بِاللَّهِ مِنَ الشَّيْطَانِ الرَّجِيمِ﴾
[ النحل: 98]
Na ukisoma Qur'ani mwombe Mwenyezi Mungu akulinde na Shetani maluuni.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
So when you recite the Qur'an, [first] seek refuge in Allah from Satan, the expelled [from His mercy].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na ukisoma Qurani mwombe Mwenyezi Mungu akulinde na Shetani maluuni.
Kinacho linda nafsi isighurike na pumbao ni Qurani. Ewe Muumini! Ukitaka kuishi maisha ya mbali na kuchezewa na Shetani, na upate wema wa kote kuwili, duniani na Akhera, basi Mimi nakuongoza kwenye jambo litakalo kusaidia kwa hayo. Jambo lenyewe ni kuisoma Qurani. Na unapo taka kusoma Qurani, anzia kwa kumuomba Mwenyezi Mungu kwa ikhlasi akuepushe na wasiwasi wa Shetani, aliye fukuzwa kwenye rehema ya Mwenyezi Mungu, na anaona uzuri kuwaghuri watu awaingize katika kumuasi Mwenyezi Mungu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Kina A'di walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu?
- H'a Mim
- Na walio amini na wakatenda mema, kwa yakini tutawafutia makosa yao, na tutawalipa bora ya
- Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo.
- Na tukampa huruma itokayo kwetu, na utakaso, na akawa mchamungu.
- Lakini mimi nitawapelekea zawadi, nami nitangoja watakayo rudi nayo wajumbe.
- Walio kufuru watakuwa na adhabu kali; na walio amini na wakatenda mema watapata msamaha na
- Na akawa anaunda jahazi, na kila wakipita wakuu wa kaumu yake wakimkejeli. Yeye akasema: Ikiwa
- Naapa kwa alfajiri,
- Bila ya shaka hayo mnayo ahidiwa yatafika tu, wala nyinyi hamtaweza kuyaepuka.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers