Surah Nisa aya 105 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّا أَنزَلْنَا إِلَيْكَ الْكِتَابَ بِالْحَقِّ لِتَحْكُمَ بَيْنَ النَّاسِ بِمَا أَرَاكَ اللَّهُ ۚ وَلَا تَكُن لِّلْخَائِنِينَ خَصِيمًا﴾
[ النساء: 105]
Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa haki ili upate kuhukumu baina ya watu kwa alivyo kuonyesha Mwenyezi Mungu. Wala usiwe mtetezi wa makhaaini.
Surah An-Nisa in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, We have revealed to you, [O Muhammad], the Book in truth so you may judge between the people by that which Allah has shown you. And do not be for the deceitful an advocate.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika Sisi tumekuteremshia Kitabu hiki kwa haki ili upate kuhukumu baina ya watu kwa alivyo kuonyesha Mwenyezi Mungu. Wala usiwe mtetezi wa makhaaini.
Tumekuteremshia hii Qurani kwa haki na kwa kweli. Imekusanya kila lilio la haki. Inabainisha haki mpaka Siku ya Kiyama, ili iwe ni taa yako ya kukupa mwangaza kuwahukumu watu. Basi hukumu baina yao, wala usiwepiganie walio makhaaini.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na atakaye ubadilisha wasia baada ya kuusikia, basi dhambi yake ni juu ya wale watakao
- Je! Imekufikia hadithi ya wageni wa Ibrahim wanao hishimiwa?
- Onja! Ati wewe ndiye mwenye nguvu, mtukufu!
- Na mfano wa neno ovu ni kama mti muovu, ulio ng'olewa juu ya ardhi. Hauna
- Katika Kitabu kilicho hifadhiwa.
- Na walisema: Je! Tutapo kuwa mifupa na mapande yaliyo vurugika, tutafufuliwa kwa umbo jipya?
- Na kwa mbingu na kwa aliye ijenga!
- Na wanapo itwa kumuendea Mwenyezi Mungu na Mtume wake ili ahukumu baina yao, kipo kikundi
- Walikuwa wakilala kidogo tu usiku.
- Sema: Kukimbia hakukufaeni kitu ikiwa mnakimbia mauti au kuuwawa, na hata hivyo hamtastareheshwa ila kidogo
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nisa with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nisa mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nisa Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers