Surah Muzammil aya 12 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنَّ لَدَيْنَا أَنكَالًا وَجَحِيمًا﴾
[ المزمل: 12]
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!
Surah Al-Muzzammil in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, with Us [for them] are shackles and burning fire
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika Sisi tunazo pingu nzito na Moto unao waka kwa ukali kabisa!
Huko Akhera tumewawekea wanao kadhibisha pingu nzito, na Moto wa kuunguza,
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha
- Watasema: Ni vya Mwenyezi Mungu. Sema: Basi je, hamwogopi?
- Wakasema: Ndivyo vivyo hivyo alivyo sema Mola wako Mlezi. Hakika Yeye ni Mwenye hikima na
- Wanapendana na waume zao, hirimu moja.
- Au izidishe - na soma Qur'ani kwa utaratibu na utungo.
- Akasema: Mola wangu Mlezi! Ninusuru kwa sababu wananikanusha.
- Na waonye siku inayo kurubia, wakati nyoyo zitakapo fika kooni, nao wamejaa huzuni. Madhaalimu hawatakuwa
- Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi
- Na wanakupeni furaha pale mnapo warudisha jioni na mnapo wapeleka malishoni asubuhi.
- Na lau makafiri wangeli pigana nanyi basi bila ya shaka wangeli geuza migongo, kisha wasingeli
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muzammil with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muzammil mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muzammil Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers