Surah Qaf aya 14 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَأَصْحَابُ الْأَيْكَةِ وَقَوْمُ تُبَّعٍ ۚ كُلٌّ كَذَّبَ الرُّسُلَ فَحَقَّ وَعِيدِ﴾
[ ق: 14]
Na wakaazi wa Machakani, na watu wa Tubbaa'. Wote hao waliwakanusha Mitume, kwa hivyo onyo likathibitika juu yao.
Surah Qaf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the companions of the thicket and the people of Tubba'. All denied the messengers, so My threat was justly fulfilled.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wakaazi wa Machakani, na watu wa Tubbaa. Wote hao waliwakanusha Mitume, kwa hivyo onyo likathibitika juu yao.
Na kaumu iliyo kuwa maarufu kwa jina la -Watu wa Machakani-, na kaumu ya Tubbaa - wote hao waliwakadhibisha Mitume wao. Kwa hivyo wakastahiki maangamizo niliyo waahidi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hakika nalijua ya kuwa nitapokea hisabu yangu.
- Muhammad ni Mtume wa Mwenyezi Mungu. Na walio pamoja naye wana nguvu mbele ya makafiri,
- Na huwi katika jambo lolote, wala husomi sehemu yoyote katika Qur'ani, wala hamtendi kitendo chochote
- Anaye t'iiwa, tena muaminifu.
- T'A SIN MIM, (T'. S. M.)
- Basi na awaite wenzake!
- Na mnapo tumia nguvu mnatumia nguvu kwa ujabari.
- Wasio amini huihimiza hiyo Saa ifike upesi; lakini wanao amini wanaiogopa, na wanajua kwamba hakika
- Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata
- Na matandiko yaliyo nyanyuliwa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qaf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qaf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qaf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers