Surah Raad aya 24 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿سَلَامٌ عَلَيْكُم بِمَا صَبَرْتُمْ ۚ فَنِعْمَ عُقْبَى الدَّارِ﴾
[ الرعد: 24]
(Wakiwaambia) Assalamu Alaikum! Amani iwe juu yenu, kwa sababu ya mlivyo subiri! Basi ni mema mno malipo ya Nyumba ya Akhera.
Surah Ar-Rad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
"Peace be upon you for what you patiently endured. And excellent is the final home."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
(Wakiwaambia) Assalamu Alaikum! Amani iwe juu yenu, kwa sababu ya mlivyo subiri! Basi ni mema mno malipo ya Nyumba ya Akhera.
Hizo Roho zitawaambia: Amani ya milele ni yenu kwa sababu ya kuvumilia kwenu maudhi, na kusubiri kwenu katika kupambana na matamanio yenu. Ni mazuri mno haya malipo mnayo yapata, nayo ni kupata makaazi katika Nyumba ya Neema ya Peponi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Mkizidhihirisha sadaka ni vizuri; na mkizificha mkawapa mafakiri kwa siri basi hivyo ni kheri kwenu,
- Na walio na maskani zao na Imani yao kabla yao, wanawapenda walio hamia kwao, wala
- Je! Wanadhani ya kuwa kwa vile tunavyo wapa mali na watoto
- Wakasema: Tuombee kwa Mola wako Mlezi atupambanulie ni yupi? Hakika tunaona ng'ombe wamefanana. Na kwa
- Basi onjeni! Nasi hatutakuzidishieni ila adhabu!
- Wala wasidhani wale ambao wanafanya ubakhili katika aliyo wapa Mwenyezi Mungu katika fadhila zake kuwa
- Macho yatainama chini.
- Na kwa usiku unapo pita,
- Kisha Mola wake Mlezi akamteuwa, naye akamkubalia toba yake, naye akamwongoa.
- Hakika katika kuumbwa kwa mbingu na ardhi, na kukhitalifiana usiku na mchana, na marikebu ambazo
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Raad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Raad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Raad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers