Surah Ghashiya aya 20 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِلَى الْأَرْضِ كَيْفَ سُطِحَتْ﴾
[ الغاشية: 20]
Na ardhi jinsi ilivyo tandazwa?
Surah Al-Ghashiyah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And at the earth - how it is spread out?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na ardhi jinsi ilivyo tandazwa?
Na ardhi wanayo ikalia na kuyendea juu yake, vipi ilivyo kunjuliwa na kutandazwa! Mara nyingi katika Qurani tukufu inatajwa kuwa ardhi -imekunjuliwa-. Na makusudio ya hayo ni kuwa ardhi ijapo kuwa ni duara kama mpira kwa sura yake, lakini inavyo onekana kwa watazamao ni kuwa imekunjuliwa. Na haya hayagongani na yaliyo thibitishwa na sayansi katika jambo lolote.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na hakika Mola wako Mlezi ni Mwenye fadhila kwa watu, lakini wengi wao hawashukuru.
- Je! Umemwona aliye fanya matamanio yake kuwa ndiye mungu wake, na Mwenyezi Mungu akamwacha apotee
- Na hakika mimi kila nilipo waita ili upate kuwaghufiria, walijiziba masikio yao kwa vidole vyao,
- Kwa hakika wanaume wanao toa sadaka, na wanawake wanao toa sadaka, na wakamkopesha Mwenyezi Mungu
- Na wale wanao vunja ahadi ya Mwenyezi Mungu baada ya kuzifunga, na wanakata aliyo amrisha
- Basi walikukanusheni kwa mliyo yasema. Kwa hivyo hamwezi kujiondolea wala kujisaidia. Na atakaye dhulumu miongoni
- Basi, je! Wanangojea jingine ila kama yaliyo tokea siku za watu walio pita kabla yao?
- Onjeni adhabu yenu! Haya ndiyo mliyo kuwa mkiyahimiza.
- Akasema: Hakika hawa wageni wangu, basi msinifedheheshe.
- Na hakika tumewaletea Kitabu tulicho kipambanua kwa ilimu, uwongofu na rehema kwa watu wenye kuamini.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ghashiya with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ghashiya mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ghashiya Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



