Surah Nahl aya 22 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِلَٰهُكُمْ إِلَٰهٌ وَاحِدٌ ۚ فَالَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ قُلُوبُهُم مُّنكِرَةٌ وَهُم مُّسْتَكْبِرُونَ﴾
[ النحل: 22]
Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Lakini wasio iamini Akhera nyoyo zao zinakataa, nao wanajivuna.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Your god is one God. But those who do not believe in the Hereafter - their hearts are disapproving, and they are arrogant.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Mungu wenu ni Mungu Mmoja. Lakini wasio iamini Akhera nyoyo zao zinakataa, nao wanajivuna.
Na imekwisha wekwa wazi kwa kila dalili kwamba hakika Mungu wenu anaye pasa mumuabudu peke yake ni Mungu Mmoja ambaye hana mshirika wake. Na juu ya hayo wale wasio amini kufufuliwa na kuhisabiwa, nyoyo zao zinaukataa Upweke wake. Kiburi chao kinawazuia kufuata Haki na kuitii.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Siku itapo wafunika adhabu hiyo kutoka juu yao na chini ya miguu yao, na atasema:
- Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio
- Kwani hakika yeye alifikiri na akapima.
- Ambaye kwa fadhila yake ametuweka makao ya kukaa daima; humu haitugusi taabu wala humu hakutugusi
- Kisha juu yake wanyweshwe mchanganyo wa maji yamoto yaliyo chemka.
- Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alicho mfunulia.
- Atauingia Moto wenye mwako.
- Enyi mlio amini! Msiwe kama wale walio kufuru na wakawasema ndugu zao walipo safiri katika
- Sisi tunasema: Baadhi katika miungu yetu imekusibu kwa baa. Akasema: Hakika mimi namshuhudisha Mwenyezi Mungu,
- Au hatawashika katika nyendo zao, na wala hawataponyoka?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers