Surah Nahl aya 21 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَمْوَاتٌ غَيْرُ أَحْيَاءٍ ۖ وَمَا يَشْعُرُونَ أَيَّانَ يُبْعَثُونَ﴾
[ النحل: 21]
Ni wafu si wahai, na wala hawajui watafufuliwa lini.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
They are, [in fact], dead, not alive, and they do not perceive when they will be resurrected.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Ni wafu si wahai, na wala hawajui watafufuliwa lini.
Na hayo ni vitu visivyo na roho kama maiti, hayana hisiya yoyote, wala hayataharaki, wala hayajui Kiyama kitakuja lini, wala lini watafufuliwa hao wanao yaabudu. Wala si laiki yenu, enyi wenye akili, baada ya haya mkadhani kuwa yatakufaeni kitu hata mkayashirikisha na Mwenyezi Mungu katika kuyaabudu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Shuaibu alipo waambia: Je! Hamfanyi mkamchamngu?
- Ewe Nabii! Waambie wake zako, na binti zako, na wake za Waumini wajiteremshie nguo zao.
- Matunda, nao watahishimiwa.
- Wala Mashet'ani hawakuteremka nayo,
- Na walio hama kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, kisha wakauwawa au wakafa, bila ya shaka
- Anadhani ya kuwa mali yake yatambakisha milele!
- Kila nafsi itaonja mauti. Kisha mtarudishwa kwetu.
- Wakasema: Sisi ni wenye nguvu na wakali kwa vita; na amri iko kwako, basi tazama
- Kwake yeye niongeze nguvu zangu.
- Au ni kama mvua kubwa itokayo mbinguni, ina giza na radi na umeme; wakawa wakitia
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers