Surah Muminun aya 60 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَالَّذِينَ يُؤْتُونَ مَا آتَوا وَّقُلُوبُهُمْ وَجِلَةٌ أَنَّهُمْ إِلَىٰ رَبِّهِمْ رَاجِعُونَ﴾
[ المؤمنون: 60]
Na wale ambao wanatoa walicho pewa, na hali nyoyo zao zinagopa kwa kuwa watarejea kwa Mola wao Mlezi,
Surah Al-Muminun in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And they who give what they give while their hearts are fearful because they will be returning to their Lord -
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wale ambao wanatoa walicho pewa, na hali nyoyo zao zinagopa kwa kuwa watarejea kwa Mola wao Mlezi,
Na wale ambao wanatoa katika vile anavyo waruzuku Mwenyezi Mungu, na wanafanya amali yao na hali wao wana khofu wasifanye taksiri, kwa sababu bila ya shaka wao ni wenye kurejea kwa Mwenyezi Mungu kwa kufufuliwa na watahisabiwa,
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na chochote mnacho toa au nadhiri mnazo weka basi hakika Mwenyezi Mungu anajua. Na walio
- Basi mpe jamaa haki yake, na masikini, na msafiri. Hayo ni kheri kwa watakao radhi
- Wala hatukuwapa Vitabu wavisome, wala hatukuwatumia Mwonyaji kabla yako wewe.
- Na wengine wafungwao kwa minyororo.
- Atasema: Mlikaa muda gani katika ardhi kwa hisabu ya miaka?
- Wote hao si sawa sawa. Miongoni mwa Watu wa Kitabu wamo watu walio simama baraabara,
- Alipo waambia ndugu yao Saleh: Je! Hamumchimngu?
- Basi walipo kuja wachawi, Musa aliwaambia: Tupeni mnavyo tupa!
- Na akafunuliwa Nuhu akaambiwa: Hataamini yeyote katika watu wako ila wale walio kwisha amini. Basi
- Alif Lam Mim (A. L. M.)
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muminun with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muminun mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muminun Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



