Surah Naml aya 23 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿إِنِّي وَجَدتُّ امْرَأَةً تَمْلِكُهُمْ وَأُوتِيَتْ مِن كُلِّ شَيْءٍ وَلَهَا عَرْشٌ عَظِيمٌ﴾
[ النمل: 23]
Hakika mimi nimemkuta mwanamke anawatawala, naye amepewa kila kitu, na anacho kiti cha enzi kikubwa.
Surah An-Naml in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Indeed, I found [there] a woman ruling them, and she has been given of all things, and she has a great throne.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hakika mimi nimemkuta mwanamke anawatawala, naye amepewa kila kitu, na anacho kiti cha enzi kikubwa.
Hakika mimi nimewaona watu wa Sabai wanatawaliwa na mwanamke, na amepewa kila kheri za kidunia, naye ana kiti cha enzi kikubwa kinacho onyesha dalili ya utukufu wa ufalme na nguvu za madaraka yake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Bali tumenyimwa!
- Na wewe si chochote ila ni mtu tu kama sisi, na kwa yakini tunakuona wewe
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- Na Mola wako Mlezi mtukuze!
- Muhuri wake ni miski. Na katika hayo washindanie wenye kushindana.
- Na rejeeni kwa Mola wenu Mlezi, na silimuni kwake, kabla ya kukujieni adhabu. Kisha hapo
- Ila wale walio tubu na wakatengeneza na wakabainisha, basi hao nitapokea toba yao, na Mimi
- Subhana 'Llah Ametakasika Mwenyezi Mungu na hayo wanayo msingizia.
- Na hakika Mitume walio kabla yako walifanyiwa kejeli, lakini walio wafanyia kejeli wakaja kuzungukwa na
- Na tulikuwa tukizama pamoja na walio zama katika maovu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Naml with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Naml mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Naml Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers