Surah Nuh aya 23 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقَالُوا لَا تَذَرُنَّ آلِهَتَكُمْ وَلَا تَذَرُنَّ وَدًّا وَلَا سُوَاعًا وَلَا يَغُوثَ وَيَعُوقَ وَنَسْرًا﴾
[ نوح: 23]
Na wakasema: Msiwaache miungu yenu, wala msimwache Wadda wala Suwaa' wala Yaghutha, wala Yau'qa, wala Nasra.
Surah Nuh in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And said, 'Never leave your gods and never leave Wadd or Suwa' or Yaghuth and Ya'uq and Nasr.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wakasema: Msiwaache miungu yenu, wala msimwache Wadda wala Suwaa wala Yaghutha, wala Yauqa, wala Nasra.
Na wao wakiwaambia: Msiache kuiabudu miungu yenu, wala msimwache Wadda, wala Suwaa , wala Yaghutha, wala Yauqa, wala Nasra. Na hawa walikuwa miungu ya masanamu iliyo chongwa kwa sura ya wanyama namna mbali mbali.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Rejea kwa Mola wako Mlezi umeridhika, na umemridhisha.
- Ndipo mkewe akawaelekea, na huku anasema na akijipiga usoni kwa mastaajabu, na kusema: Mimi ni
- Je, wao wanayo miguu ya kwendea? Au wanayo mikono ya kutetea? Au wanayo macho ya
- Na hakika Nuhu alitwita, na Sisi ni bora wa waitikiaji.
- Basi lilitokea tukio juu yake kutoka kwa Mola wako Mlezi, nao wamelala!
- Na wala huyu mwenzenu hana wazimu.
- Nendeni kwenye kivuli chenye mapande matatu!
- Mja anapo sali?
- Tena Mola wake Mlezi akampokea kwa mapokeo mema na akamkuza makuzo mema, na akamfanya Zakariya
- Kwani hatukukuumbeni kwa maji ya kudharauliwa?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nuh with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nuh mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nuh Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers