Surah Al Qamar aya 32 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ﴾
[ القمر: 32]
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?
Surah Al-Qamar in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We have certainly made the Qur'an easy for remembrance, so is there any who will remember?
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qurani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye?
Na bila ya shaka Sisi tumeisahilisha Qurani iwe nyepesi kwa ajili ya mawaidha na kuzingatia. Lakini je, yupo wa kuwaidhika?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Yeye ndiye anaye anzisha na ndiye anaye rejeza tena,
- Kitabu kilicho andikwa.
- Na vyake Yeye vilivyo mbinguni na katika ardhi. Vyote vinamt'ii Yeye.
- Ambao wanamkhofu Mola wao Mlezi faraghani, na wanaiogopa Saa ya Kiyama.
- Tukawavusha bahari Wana wa Israili, na Firauni na askari wake wakawafuatia kwa dhulma na uadui.
- Basi wale wajumbe walipo fika kwa Luut'i,
- Na A'di na Firauni na kaumu ya Lut'i.
- Na walio amini na wakatenda mema wataingizwa katika Mabustani yapitayo mito kati yake, wadumu humo
- Hakika wanao wasingizia wanawake, wanao jihishimu, walio ghafilika, Waumini, wamelaaniwa duniani na Akhera, nao watapata
- Wakasema: Tumemuamini Mola Mlezi wa viumbe vyote,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Qamar with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Qamar mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Qamar Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers