Surah Furqan aya 35 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ آتَيْنَا مُوسَى الْكِتَابَ وَجَعَلْنَا مَعَهُ أَخَاهُ هَارُونَ وَزِيرًا﴾
[ الفرقان: 35]
Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukamweka pamoja naye nduguye, Harun, kuwa waziri.
Surah Al-Furqan in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We had certainly given Moses the Scripture and appointed with him his brother Aaron as an assistant.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukamweka pamoja naye nduguye, Harun, kuwa waziri.
Na Mtume s.a.w. anapozwa kwa yaliyo wapata Mitume wa kabla yake. Hakika Sisi tulimteremshia Musa Taurati, na tukamkalifisha afikishe Ujumbe wetu, na tukamuunga mkono kwa ndugu yake Harun, awe waziri wake na msaidizi katika kazi yake.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Basi hatuna waombezi.
- Basi warudisheni baba zetu, ikiwa nyinyi mnasema kweli.
- Na hapana katika sisi ila anapo mahali pake maalumu.
- Walipo tukasirisha tuliwapatiliza tukawazamisha wote!
- Na sema: Mola wangu Mlezi! Najikinga kwako na wasiwasi wa mashet'ani.
- Anaye geuza shingo yake ili kupoteza watu waache Njia ya Mwenyezi Mungu. Duniani atapata hizaya,
- Basi wakitubu na wakashika Sala na wakatoa Zaka, basi ni ndugu zenu katika Dini. Na
- Na huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu.
- Hakika adhabu ya Mola wako Mlezi hapana shaka itatokea.
- Hayakuwa haya ila ni mawaidha kwa walimwengu wote.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Furqan with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Furqan mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Furqan Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



