Surah Al Imran aya 46 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَيُكَلِّمُ النَّاسَ فِي الْمَهْدِ وَكَهْلًا وَمِنَ الصَّالِحِينَ﴾
[ آل عمران: 46]
Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema.
Surah Al Imran in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
He will speak to the people in the cradle and in maturity and will be of the righteous."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Naye atazungumza na watu katika utoto wake na katika utuuzima wake, na atakuwa katika watu wema.
Na Mwenyezi Mungu alimjaalia Nabii Isa na uwezo wa kusema na watu na ilhali yungali mtoto maneno ya kufahamika yenye hikima, kama alivyo sema nao utuuzimani mwake, bila ya tafauti katika hali hizo mbili. Na akawa katika miongoni walio jaaliwa kuwa ni watu wema.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Atendaye ayatakayo.
- Na alipo elekea upande wa Madyana alisema: Asaa Mola wangu Mlezi akaniongoa njia iliyo sawa.
- Macho yao yatainama, fedheha itawafunika. Hiyo ndiyo Siku waliyo kuwa wakiahidiwa.
- Lau kuwa tumeiteremsha hii Qur'ani juu ya mlima, basi bila ya shaka ungeli uona ukinyenyekea,
- Tunakusomea khabari za Musa na Firauni kwa Haki kwa ajili ya watu wanao amini.
- Siku atakapo kuiteni, na nyinyi mkamuitikia kwa kumshukuru, na mkadhani kuwa hamkukaa ila muda mdogo
- Wao walimkusudia maovu, lakini Sisi tukawafanya wao ndio walio khasiri.
- Na milima itapo sagwasagwa,
- Isipo kuwa njia ya Jahannamu. Humo watadumu milele. Na hayo kwa Mwenyezi Mungu ni mepesi.
- Tungeli taka tungeli yafanya yakawa mapepe, mkabaki mnastaajabu,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Imran with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Imran mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Imran Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



