Surah Qasas aya 52 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الَّذِينَ آتَيْنَاهُمُ الْكِتَابَ مِن قَبْلِهِ هُم بِهِ يُؤْمِنُونَ﴾
[ القصص: 52]
Wale tulio wapa Kitabu kabla yake wanakiamini hiki.
Surah Al-Qasas in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Those to whom We gave the Scripture before it - they are believers in it.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wale tulio wapa Kitabu kabla yake wanakiamini hiki.
Wale ambao tuliwateremshia Taurati na Injili kabla ya kuteremka Qurani, na wakaviamini vitabu hivyo viwili, na wakasadiki yaliyo tajwa humo juu ya khabari za Muhammad na Kitabu chake, hao wanamuamini Muhammad na Kitabu chake.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ambao hutoa mali yao kwa kuonyesha watu, wala hawamuamini Mwenyezi Mungu wala Siku ya
- Si cha kuburudisha wala kustarehesha.
- Enyi mlio amini! Wakikujilieni wanawake Waumini walio hama, basi wafanyieni mtihani - Mwenyezi Mungu ndiye
- Basi tukambashiria mwana aliye mpole.
- Mola wetu Mlezi! Na utupe uliyo tuahidi kwa Mitume wako, wala usituhizi Siku ya Kiyama.
- Ole wao walio ikanusha siku yao waliyo ahidiwa.
- Hakika Mwenyezi Mungu haoni haya kutoa mfano hata wa mbu na ulio wa zaidi yake.
- Na bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anaye kumbuka?
- Ameuteremsha Roho muaminifu,
- Na kwa usiku unapo pungua,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qasas with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qasas mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qasas Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



