Surah Qasas aya 51 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿۞ وَلَقَدْ وَصَّلْنَا لَهُمُ الْقَوْلَ لَعَلَّهُمْ يَتَذَكَّرُونَ﴾
[ القصص: 51]
Na sasa kwa yakini tumewafikishia Neno ili wapate kukumbuka.
Surah Al-Qasas in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We have [repeatedly] conveyed to them the Qur'an that they might be reminded.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na sasa kwa yakini tumewafikishia Neno ili wapate kukumbuka.
Na bila ya shaka Mwenyezi Mungu amewateremshia Qurani kwa utungo, baadhi yake ikifuatia baadhi kwa mujibu wa inavyo takikana na hikima, na kulingana na ahadi, na maonyo, na hadithi, na mazingatio, ili wapate kupima na kuyaamini yaliomo ndani yake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ukiwauliza: Ni nani anaye teremsha maji kutoka mbinguni, na akaihuisha ardhi baada ya kufa
- Wanasema: Tukirejea Madina mwenye utukufu zaidi bila ya shaka atamfukuza aliye mnyonge. Na Mwenyezi Mungu
- Na atendaye kosa au dhambi kisha akamsingizia asiye na kosa, basi amejitwika dhulma na dhambi
- Na mwezi utapo patwa,
- Na waonye siku inayo kurubia, wakati nyoyo zitakapo fika kooni, nao wamejaa huzuni. Madhaalimu hawatakuwa
- Na wale walio kufuru na wakazikanusha Ishara zetu, hao ndio watu wa Motoni.
- H'A MIM
- Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza!
- Na ya kwamba mniabudu Mimi? Hii ndiyo Njia Iliyo Nyooka.
- Na niache Mimi na hao wanao kanusha, walio neemeka; na wape muhula kidogo!
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qasas with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qasas mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qasas Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers