Surah Al Isra aya 53 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَقُل لِّعِبَادِي يَقُولُوا الَّتِي هِيَ أَحْسَنُ ۚ إِنَّ الشَّيْطَانَ يَنزَغُ بَيْنَهُمْ ۚ إِنَّ الشَّيْطَانَ كَانَ لِلْإِنسَانِ عَدُوًّا مُّبِينًا﴾
[ الإسراء: 53]
Waambie waja wangu waseme maneno mazuri, maana Shet'ani huchochea ugomvi baina yao. Hakika Shet'ani ni adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu.
Surah Al-Isra in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And tell My servants to say that which is best. Indeed, Satan induces [dissension] among them. Indeed Satan is ever, to mankind, a clear enemy.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Waambie waja wangu waseme maneno mazuri, maana Shetani huchochea ugomvi baina yao. Hakika Shetani ni adui aliye dhaahiri kwa mwanaadamu.
Ewe Nabii! Waambie waja wangu Waumini wanapo pambana na washirikina waseme maneno yaliyo bora ya kukinaisha, na waachilie mbali kutumia maneno makali makali yanayo sabibisha shari na uharibifu. Kwani Shetani huleta fisadi baina ya Waumini na makafiri, kwa kuwa yeye ni adui aliye wazi wa binaadamu.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Sema: Hakika ujuzi wake uko kwa Mwenyezi Mungu; na hakika mimi ni mwonyaji tu mwenye
- T'aa Siin. (T'. S.), Hizi ni Aya za Qur'ani na Kitabu kinacho bainisha;
- Na wao wakafanya haraka kufuata nyayo zao.
- Wakae humo karne baada ya karne,
- Amekuumbieni namna nane za wanyama: Wawili katika kondoo, na wawili katika mbuzi. Sema je, ameharimisha
- Wamelaanika! Popote watakapo onekana watakamatwa na watauliwa kabisa.
- Ni malipo kwa waliyo kuwa wakiyatenda.
- Nendeni kwenye adhabu mliyo kuwa mkiikanusha!
- Basi wao kwa hakika siku hiyo watashirikiana katika adhabu pamoja.
- Kuwa ni Uwongofu na Rehema kwa wafanyao wema,
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Al Isra with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Al Isra mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Al Isra Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers