Surah Ahqaf aya 6 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَإِذَا حُشِرَ النَّاسُ كَانُوا لَهُمْ أَعْدَاءً وَكَانُوا بِعِبَادَتِهِمْ كَافِرِينَ﴾
[ الأحقاف: 6]
Na ambao watu watakapo kusanywa watakuwa maadui zao, na wataikataa ibada yao.
Surah Al-Ahqaaf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And when the people are gathered [that Day], they [who were invoked] will be enemies to them, and they will be deniers of their worship.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na ambao watu watakapo kusanywa watakuwa maadui zao, na wataikataa ibada yao.
Na watu wakikusanywa kwa ajili ya hisabu Siku ya Kiyama hawa wanao abudiwa kwa upotovu watakuwa ndio maadui wa walio kuwa wakiabudu, na watajitenga nao, na kuwakadhibisha kwa madai yao kwamba wao wanastahiki kuabudiwa. (Katika Injili ya Mathayo inasimuliwa wazi vipi Nabii Isa a.s. atavyo wakataa Wakristo wanao muabudu yeye. Tazama Mathayo 7.22-23. Yesu anasema: -Wengi wataniambia siku ile, Bwana, Bwana, hatukufanya unabii kwa jina lako, na kwa jina lako kutoa pepo, na kwa jina lako kufanya miujiza mingi? Ndipo nitawaambia dhahiri, Sikuwajua ninyi kamwe; ondokeni kwangu, ninyi mtendao maovu.-)
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na pia wale watatu walio achwa nyuma hata dunia wakaiona dhiki juu ya ukunjufu wake,
- Na wakahudhurishwa mbele ya Mola wako Mlezi kwa safu (wakaambiwa): Mmetujia kama tulivyo kuumbeni mara
- Na ambao wanatoa Zaka,
- Ili mumuamini Mwenyezi Mungu na Mtume wake, na mumsaidie, na mumhishimu, na mumtakase asubuhi na
- Nawasikitikia waja wangu. Hawajii Mtume ila wao humkejeli.
- Hakika wale wafichao aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu katika Kitabu, wakanunua kwacho thamani ndogo, hao hawali
- Sema: Mimi nipo kwenye sharia iliyo wazi itokayo kwa Mola wangu Mlezi, nanyi mnaikanusha. Mimi
- Wakasema: Ukorofi wenu mnao wenyewe! Je! Ni kwa kuwa mnakumbushwa? Ama nyinyi ni watu walio
- Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa.
- Basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ahqaf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ahqaf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ahqaf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers