Surah Baqarah aya 68 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالُوا ادْعُ لَنَا رَبَّكَ يُبَيِّن لَّنَا مَا هِيَ ۚ قَالَ إِنَّهُ يَقُولُ إِنَّهَا بَقَرَةٌ لَّا فَارِضٌ وَلَا بِكْرٌ عَوَانٌ بَيْنَ ذَٰلِكَ ۖ فَافْعَلُوا مَا تُؤْمَرُونَ﴾
[ البقرة: 68]
Wakasema: Tuombee kwa Mola wako Mlezi atupambanulie ni ng'ombe gani? Akasema: Hakika Yeye anasema kwamba ng'ombe huyo si mpevu, wala si kinda, bali ni wa katikati baina ya hao. Basi fanyeni mnavyo amrishwa.
Surah Al-Baqarah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
They said, "Call upon your Lord to make clear to us what it is." [Moses] said, "[Allah] says, 'It is a cow which is neither old nor virgin, but median between that,' so do what you are commanded."
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wakasema: Tuombee kwa Mola wako Mlezi atupambanulie ni Ngombe gani? Akasema: Hakika Yeye anasema kwamba Ngombe huyo si mpevu, wala si kinda, bali ni wa katikati baina ya hao. Basi fanyeni mnavyo amrishwa.
Tena wakamwambia Musa wakirejea lile shauri la ngombe: Tutakie kwa Mola wako Mlezi atubainishie sifa za huyo ngombe. Akawaambia: Mwenyezi Mungu ameniambia huyo Ngombe si mkubwa wala si mdogo, bali yu katikati baina ya upevu na uchanga. Basi hebu tekelezeni alivyo kuamrisheni Mwenyezi Mungu
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na ungeli waona wakosefu wanvyo inamisha vichwa vyao mbele ya Mola wao Mlezi, (wakisema): Mola
- Lakini wale walio amini na wakatenda mema, hao watapata ujira usio kwisha.
- Ati kila mmoja katika wao anataka apewe nyaraka zilizo funuliwa.
- Na hakika tulimtuma Musa pamoja na Ishara zetu na uthibitisho ulio wazi
- Wala sisi hatutaadhibiwa.
- Bali tumewaletea Haki, na kwa yakini hao ni waongo.
- Na hatukumtuma kabla yako Mtume yeyote ila tulimfunulia ya kwamba hapana mungu isipo kuwa Mimi.
- Hakika walio amini na wakatenda mema watakuwa nazo Bustani za neema.
- Na tukakuondolea mzigo wako,
- Enyi mlio amini! Msiwafanye marafiki wale walio ifanyia kejeli na mchezo Dini yenu miongoni mwa
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Baqarah with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Baqarah mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Baqarah Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



