Surah Qalam aya 9 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَدُّوا لَوْ تُدْهِنُ فَيُدْهِنُونَ﴾
[ القلم: 9]
Wanatamani lau unge lainisha ili nao wakulainishie.
Surah Al-Qalam in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
They wish that you would soften [in your position], so they would soften [toward you].
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wanatamani lau unge lainisha ili nao wakulainishie.
Wanatamani lau ungeli kuwa laini kwao katika baadhi ya mambo, ili na wao wawe laini kwako, kwa tamaa upate kurudishiana nao. (Neno lililo tumiwa hapo -Tud- hinu fayud-hinuun-, maana yake khasa -Upake mafuta na wao wapake mafuta-. Kiswahili husema: Kumpaka mtu mafuta kwa mgongo wa chupa. Yaani kumpa sifa za uwongo, kumfanyia unaafiki. Kwa Kiarabu ni -Mudaahana-. Kupakana mafuta)
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Sema: Lau kuwa ninacho hicho mnacho kihimiza, ingeli kwisha katwa shauri baina yangu na nyinyi.
- Na itapo simama Saa wakosefu watakata tamaa.
- Iwe salama kwa Ilyas.
- Ni uteremsho utokao kwa Mola Mlezi wa walimwengu wote.
- Na watapitishiwa vyombo vya fedha na vikombe vya vigae,
- Na mkakaa katika maskani zile zile za walio zidhulumu nafsi zao. Na ikakudhihirikieni jinsi tulivyo
- Naye hakika bila ya shaka ana nguvu za kupenda mali!
- Akasema: Sikukwambia hutaweza kuvumilia kuwa pamoja nami?
- Wakasema: Hakika sisi tumetumwa kwa watu wakosefu,
- Naam! Na hakika mtakuwa katika watu wa mbele.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Qalam with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Qalam mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Qalam Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers