Surah Sad aya 86 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قُلْ مَا أَسْأَلُكُمْ عَلَيْهِ مِنْ أَجْرٍ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُتَكَلِّفِينَ﴾
[ ص: 86]
Sema (Ewe Mtume): Sikuombeni ujira juu ya haya, wala mimi si katika wadanganyifu.
Surah Saad in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Say, [O Muhammad], "I do not ask you for the Qur'an any payment, and I am not of the pretentious
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Sema (Ewe Mtume) : Sikuombeni ujira juu ya haya, wala mimi si katika wadanganyifu.
Ewe Muhammad! Waambie umma wako: Mimi sikuombeni ujira kwa ajili ya haya niliyo amrishwa nikufikishieni yaliyomo katika Qurani na Wahyi. Wala mimi si katika hao wanao jipamba na yasiyo kuwa yao, hata nijidai Unabii.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Wakasema: Usiogope. Sisi tunakubashiria kijana mwenye ujuzi.
- Na hapana mmoja ila wote watakusanywa waletwe mbele yetu.
- Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo.
- Na hamkuwa wenye kujificha hata masikio yenu, na macho yenu, na ngozi zenu, zisikushuhudilieni. Lakini
- Miji hiyo, tunakusimulia baadhi ya khabari zake. Na hapana shaka Mitume wao waliwafikia kwa hoja
- Huyo hakika alidhani kuwa hatarejea tena.
- Na ndugu zao wanawavutia kwenye upotofu, kisha wao hawaachi.
- Ambao wanapo jipimia kwa watu hudai watimiziwe.
- Kisha itakuja baadaye miaka saba ya shida itakayo kula kile mlicho iwekea isipo kuwa kidogo
- Mola wetu Mlezi! Tulizidiwa na uovu wetu na tukawa watu tulio potea.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Sad with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Sad mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Sad Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers