Surah Hijr aya 34 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالَ فَاخْرُجْ مِنْهَا فَإِنَّكَ رَجِيمٌ﴾
[ الحجر: 34]
(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni!
Surah Al-Hijr in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[Allah] said, "Then get out of it, for indeed, you are expelled.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
(Mwenyezi Mungu) akasema: Basi toka humo, kwani hakika wewe ni maluuni!
Mwenyezi Mungu Mtukufu akasema: Ukiwa wewe umekuwa aasi, umetokana na utiifu wangu, basi tokelea mbali kwenye Bustani hii! Kwani hakika wewe umefukuzwa kwenye rehema yangu pahala pa hishima.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hakika sisi zamani tulikuwa tukimwomba Yeye tu. Hakika Yeye ndiye Mwema Mwenye kurehemu.
- Na matunda, na malisho ya wanyama;
- Yeye ndiye aliye mtuma Mtume wake kwa uwongofu na Dini ya haki ili ipate kuzishinda
- Na namna hivi tumeiteremsha (Qur'ani) kuwa ni Aya zilizo wazi, na hakika Mwenyezi Mungu humwongoa
- Na Mola wako Mlezi mtukuze!
- Na wanapo ambiwa: Kateremsha nini Mola wenu Mlezi? Husema: Hadithi za kubuni za watu wa
- Naapa kwa alfajiri,
- Kwa kitu gani amemuumba?
- Hakika walio amini, na Mayahudi na Masabii na Wakristo, walio muamini Mwenyezi Mungu, na Siku
- Kwani tutawafanya Waislamu kama wakosefu?
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Hijr with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Hijr mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Hijr Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers