Surah Luqman aya 1 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الم﴾
[ لقمان: 1]
Alif Lam Mim (A. L. M.)
Surah Luqman in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Alif, Lam, Meem.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Alif Lam Mim (A.L.M.) .
Harufi hizi zimeanzia baadhi ya Sura kuashiria kuwa Qurani ni muujiza ulio tungwa na harufi kama harufi wanazo zitumia Waarabu katika maneno yao. Na juu ya hayo wao wameshindwa kuleta mfano wake. Na pia ni kwa ajili ya kuzindua watu wasikilize na watege sikio. Na washirikina walikuwa wamewafikiana kuwa wawe wanaropokwa maneno ya upuuzi tu ikisomwa Qurani wala wasiisikilize.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na tukamfundisha kuunda mavazi ya vita kwa ajili yenu ili yakuhifadhini katika kupigana kwenu. Je!
- Na Musa akasema: Mola wangu Mlezi ni Mwenye kujua kabisa nani anaye kuja na uwongofu
- Mwenyezi Mungu huteuwa Wajumbe miongoni mwa Malaika na miongoni mwa watu. Hakika Mwenyezi Mungu ni
- Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha?
- (Wakieneza): Hakika hawa ni kikundi kidogo.
- Na mwanaadamu tunapo mneemesha hugeuka na kujitenga kando. Na inapo mgusa shari hukata tamaa.
- Na wachawi wakapoomoka wakisujudu.
- Kwa kitu gani amemuumba?
- Hao ndio watu wa kheri wa kuliani.
- Hakinenepeshi wala hakiondoi njaa.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Luqman with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Luqman mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Luqman Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers