Surah Araf aya 102 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمَا وَجَدْنَا لِأَكْثَرِهِم مِّنْ عَهْدٍ ۖ وَإِن وَجَدْنَا أَكْثَرَهُمْ لَفَاسِقِينَ﴾
[ الأعراف: 102]
Wala hatukuwaona wengi wao kuwa wanatimiza ahadi; bali kwa hakika tuliwakuta wengi wao ni wapotofu.
Surah Al-Araf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We did not find for most of them any covenant; but indeed, We found most of them defiantly disobedient.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Wala hatukuwaona wengi wao kuwa wanatimiza ahadi; bali kwa hakika tuliwakuta wengi wao ni wapotofu.
Wala hatukuwakuta wengi wa watu hao kuwa ni wenye kutimiza ahadi kwa Imani tulio wausia kwa ndimi za Mitume, na yanayo tambuliwa na akili na nadhari nzuri. Na mwendo ulio thibiti kwao ni vile kuselelea katika upotofu na kwenda kinyume na kila ahadi.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ya kwamba msimuabudu isipo kuwa Mwenyezi Mungu tu. Hakika mimi ninakukhofieni adhabu ya Siku Chungu.
- Unao babua ngozi ya kichwa!
- Hakika hivyo ndivyo tunavyo walipa walio wema.
- Sema: Tarajieni, na mimi pia ni pamoja nanyi katika kutarajia.
- Basi mcheni Mwenyezi Mungu, na nit'iini.
- Kisha tukawazamisha wale wengine.
- Kwani hakika mchana una shughuli nyingi.
- Na ardhi na milima ikaondolewa, na ikavunjwa kwa mvunjo mmoja,
- Ambao huyaamini ya ghaibu na hushika Sala, na hutoa katika tuliyo wapa.
- Mwenyezi Mungu ameandika: Hapana shaka Mimi na Mtume wangu tutashinda. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Araf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Araf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Araf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers