Surah Assaaffat aya 104 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَنَادَيْنَاهُ أَن يَا إِبْرَاهِيمُ﴾
[ الصافات: 104]
Tulimwita: Ewe Ibrahim!
Surah As-Saaffat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
We called to him, "O Abraham,
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Tulimwita: Ewe Ibrahim!.
Na Mwenyezi Mungu akajua umadhubuti wa Ibrahim na mwanawe katika majaribio, Mwenyezi Mungu alimwita Ibrahim kwa wito wa kirafiki: Ewe Ibrahim! Hakika umeuitikia kwa utulivu huo ufunuo wa ndoto, na wala hukusitasita katika kufuata amri. Basi haya yanakutosha. Sisi tunakupunguzia haya majaribio yetu kuwa ni malipo kwa wema wako, kama tunavyo walipa walio wema kwa wema wao.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Isipo kuwa wale walio kuwa wanyonge miongoni mwa wanaume na wanawake na watoto wasio na
- Zimo mikononi mwa Malaika waandishi,
- Hakika Sisi tumeufanya huo kuwa ni mateso kwa walio dhulumu.
- Kila mtu miongoni mwao siku hiyo atakuwa na lake la kumtosha.
- Atakuleteeni mvua inyeshe mfululizo.
- Na waonye siku ya majuto itapo katwa amri. Nao wamo katika ghafla, wala hawaamini.
- Hata alipo fika baina ya milima miwili, alikuta nyuma yake watu ambao takriban hawakuwa wanafahamu
- Tena awe miongoni mwa walio amini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana.
- Na mcheni aliye kupeni haya mnayo yajua.
- Na mageuko yako kati ya wanao sujudu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Assaaffat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Assaaffat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Assaaffat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



