Surah Muminun aya 114 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿قَالَ إِن لَّبِثْتُمْ إِلَّا قَلِيلًا ۖ لَّوْ أَنَّكُمْ كُنتُمْ تَعْلَمُونَ﴾
[ المؤمنون: 114]
Atasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingeli kuwa mnajua.
Surah Al-Muminun in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
He will say, "You stayed not but a little - if only you had known.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Atasema: Nyinyi hamkukaa huko duniani ila kidogo, laiti ingeli kuwa mnajua.
Basi Mwenyezi Mungu atawaambia: Hamkuishi duniani ila muda mchache tu. Na lau ingeli kuwa mnajua malipo ya ukafiri na uasi na kwamba starehe ya duniani ni chache mngeli amini na mkatii.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na atakaye wageuzia mgongo wake siku hiyo - isipo kuwa kwa mbinu za vita au
- Iwe salama kwa Musa na Haruni!
- Na kwa nafsi na kwa aliye itengeneza!
- Akasema: Haki! Na haki ninaisema.
- Tumeweka makongwa shingoni mwao, yakawafika videvuni. Kwa hivyo vichwa vyao viko juu tu.
- Wanaonyeshwa Moto asubuhi na jioni. Na itapo fika Saa ya Kiyama patasemwa: Waingizeni watu wa
- Mola wangu Mlezi! Nitunukie hukumu na uniunganishe na watendao mema.
- Zitajua ya kuwa zitafikiwa na livunjalo uti wa mgongo.
- Na ngojeni, na sisi tunangoja.
- Nusu yake, au ipunguze kidogo.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muminun with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muminun mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muminun Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Abdul Rashid Sufi
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers