Surah Yusuf aya 106 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمَا يُؤْمِنُ أَكْثَرُهُم بِاللَّهِ إِلَّا وَهُم مُّشْرِكُونَ﴾
[ يوسف: 106]
Na wengi katika wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina.
Surah Yusuf in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And most of them believe not in Allah except while they associate others with Him.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na wengi katika wao hawamuamini Mwenyezi Mungu pasina kuwa ni washirikina.
Na kati yao wapo wenye kumsadiki Mwenyezi Mungu, wanamkubali kuwa ni Mola Mlezi, na kwamba Yeye ni Muumba wa kila kitu. Lakini imani ya wengi wao haikusimama juu ya msingi madhubuti wa Tawhid! Basi hawaukubali Upweke wa Mwenyezi Mungu kwa njia ya usafi. Lakini katika nafsi zao umo mchanganyiko wa imani unao wapelekea katika njia za washirikina, mapagani.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Iwe wanawapitia watumishi wao kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza.
- Na ama walio kufuru na wakazikanusha Ishara zetu na mkutano wa Akhera, hao basi watahudhurishwa
- Kwa siku gani hiyo wamewekewa muda huo?
- Na nini kilicho wazuilia watu kuamini ulipo wajia uwongofu isipo kuwa walisema: Je! Mwenyezi Mungu
- Na kama liko kundi miongoni mwenu lililo amini haya niliyo tumwa, na kundi jengine halikuamini,
- Wala si juu yetu ila kufikisha ujumbe ulio wazi.
- Hakika Sisi tumeufanya huo kuwa ni mateso kwa walio dhulumu.
- Warumi wameshindwa,
- Na ambao wanazilinda tupu zao,
- AU NANI yule aliye ziumba mbingu na ardhi, na akakuteremshieni maji kutoka mbinguni, na kwa
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Yusuf with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Yusuf mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Yusuf Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



