Surah Nahl aya 108 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أُولَٰئِكَ الَّذِينَ طَبَعَ اللَّهُ عَلَىٰ قُلُوبِهِمْ وَسَمْعِهِمْ وَأَبْصَارِهِمْ ۖ وَأُولَٰئِكَ هُمُ الْغَافِلُونَ﴾
[ النحل: 108]
Hao ndio Mwenyezi Mungu ameziziba nyoyo zao na masikio yao na macho yao. Na hao ndio walio ghafilika.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Those are the ones over whose hearts and hearing and vision Allah has sealed, and it is those who are the heedless.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hao ndio Mwenyezi Mungu ameziziba nyoyo zao na masikio yao na macho yao. Na hao ndio walio ghafilika.
Hao ndio Mwenyezi Mungu amewapiga muhuri wa mghafala katika nyoyo zao, hata zikawa haziikubali Haki, na katika masikio yao wakawa hawasikii kwa sikio la fahamu na mazingatio wakawa kama viziwi, na katika macho yao hata wakawa hawaoni ishara na dalili zilio mbele yao. Hao ndio walio zama katika kughafilika na Haki. Hao hawana kheri mpaka uondoke mghafala katika akili zao.
| English | Türkçe | Indonesia |
| Русский | Français | فارسی |
| تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na malipo ya uovu ni uovu mfano wa huo. Lakini mwenye kusamehe, na akasuluhisha, basi
- Na pale walipo ambiwa: Kaeni katika mji huu, na mle humo mpendapo, na semeni: Tufutie
- Lau wangeli kuwamo humo miungu wengine isipo kuwa Mwenyezi Mungu basi bila ya shaka hizo
- Na matandiko yaliyo nyanyuliwa.
- Na alipo kuja Musa kwenye miadi yetu, na Mola wake Mlezi akamsemeza, alisema: Mola wangu
- Kwa hakika wewe ni mwonyaji tu kwa mwenye kuikhofu.
- Kutokana na majini na wanaadamu.
- Anajua viliomo katika mbingu na ardhi, na anajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza. Na Mwenyezi
- Au wanazo khazina za Mola wako Mlezi au wao ndio wenye madaraka?
- Na wachawi wakapoomoka wakisujudu.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers



