Surah Nahl aya 109 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿لَا جَرَمَ أَنَّهُمْ فِي الْآخِرَةِ هُمُ الْخَاسِرُونَ﴾
[ النحل: 109]
Hapana shaka ya kwamba hao ndio wenye kukhasiri Akhera.
Surah An-Nahl in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Assuredly, it is they, in the Hereafter, who will be the losers.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Hapana shaka ya kwamba hao ndio wenye kukhasiri Akhera.
Hao hapana shaka yoyote ndio peke yao watakao khasiri kila kheri katika Akhera!
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na Mwenyezi Mungu anataka kukurejezeni kwenye ut'iifu wake, na wanao taka kufuata matamanio wanataka mkengeuke
- Sema: Mimi naogopa adhabu ya Siku kubwa hiyo ikiwa nitamuasi Mola wangu Mlezi.
- Na tumekwisha bainisha katika Qur'ani hii ili wapate kukumbuka. Lakini haikuwazidisha ila kuwa mbali nayo.
- Na tutayaendea yale waliyo yatenda katika vitendo vyao, tuvifanye kama mavumbi yaliyo tawanyika.
- Na akaliwafiki lilio jema,
- Sema: Ni nani Mola Mlezi wa mbingu saba na Mola Mlezi wa A'rshi Kuu?
- Na katika khabari za A'di tulipo wapelekea upepo wa kukata uzazi.
- Basi mwachilie mbali anaye upa kisogo ukumbusho wetu, na wala hataki ila maisha ya dunia.
- Kwani huyo hakika alikuwa hamuamini Mwenyezi Mungu Mtukufu,
- Basi onjeni kwa vile mlivyo usahau mkutano wa Siku yenu hii. Na Sisi hakika tunakusahauni.
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Nahl with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Nahl mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Nahl Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers