Surah Assaaffat aya 125 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿أَتَدْعُونَ بَعْلًا وَتَذَرُونَ أَحْسَنَ الْخَالِقِينَ﴾
[ الصافات: 125]
Mnamwomba Baa'li na mnamwacha Mbora wa waumbaji,
Surah As-Saaffat in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
Do you call upon Ba'l and leave the best of creators -
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Mnamwomba Baali na mnamwacha Mbora wa waumbaji,.
Mnaliabudu sanamu linalo itwa Baali, na mkaacha kumuabudu Mwenyezi Mungu aliye uumba ulimwengu na akaufanya mzuri uumbaji wake?
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ni vya Mwenyezi Mungu vyote viliomo mbinguni na katika ardhi. Hakika Mwenyezi Mungu ndiye Mkwasi,
- Hakika Mungu wenu bila ya shaka ni Mmoja.
- Basi wakawafuata lilipo chomoza jua.
- Na wapo baadhi yao wanao pindua ndimi zao katika kusoma Kitabu ili mdhanie kuwa hayo
- Na nyinyi wakati huo mnatazama!
- Wala usisema kamwe kwa jambo lolote lile: Hakika nitalifanya hilo kesho -
- Kisha nitawazukia mbele yao na nyuma yao na kuliani kwao na kushotoni kwao. Wala hutawakuta
- Lau isingeli kuwa hukumu iliyo kwisha tangulia kutoka kwa Mwenyezi Mungu ingeli kupateni adhabu kubwa
- Na tukambainishia zote njia mbili?
- Na wote wawili wakakimbilia mlangoni, na mwanamke akairarua kanzu yake Yusuf kwa nyuma. Na wakamkuta
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Assaaffat with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Assaaffat mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Assaaffat Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers