Surah Muminun aya 17 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَلَقَدْ خَلَقْنَا فَوْقَكُمْ سَبْعَ طَرَائِقَ وَمَا كُنَّا عَنِ الْخَلْقِ غَافِلِينَ﴾
[ المؤمنون: 17]
Na kwa yakini tumeziumba juu yenu njia saba. Nasi hatukuwa wenye kughafilika na viumbe.
Surah Al-Muminun in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And We have created above you seven layered heavens, and never have We been of [Our] creation unaware.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na kwa yakini tumeziumba juu yenu njia saba. Nasi hatukuwa wenye kughafilika na viumbe.
Na hakika Sisi tumeziumba mbingu saba zilizo nyanyuka juu yenu. Ndani yake vipo viumbe ambavyo hatukughafilika navyo. Tunavihifadhi na tunaviendesha. Na Sisi kabisa hatughafiliki na viumbe vyetu vyote. Bali tunavilinda visipotee na kuharibika, na tunavipangia mambo yao yote kwa hikima. -Na kwa yakini tumeziumba juu yenu njia saba. Nasi hatukuwa wenye kughafilika na viumbe.- Hizo njia saba zilizo tajwa katika hiyo Aya maana yake ni mbingu saba, na kwamba hizo si mbingu moja, na Mwenyezi Mungu haghafiliki na mbingu hizo na viumbe viliomo ndani yake.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Ambao wakaifanya Qur'ani vipande vipande.
- Waache wale, na wastarehe, na iwazuge tamaa. Watakuja jua.
- Nayo ni Jahannamu! Maovu yaliyoje makaazi hayo!
- Ili awalipe walio amini na wakatenda mema. Hao watapata msamaha na riziki ya ukarimu.
- Na katika watu yupo yule ambaye maneno yake kwa maisha ya kidunia hukufurahisha; naye humshuhudisha
- Hakika ukiwaacha watawapoteza waja wako, wala wao hawatazaa ila waovu makafiri.
- Na lau kuwa si neno lililo kwisha tangulia kutoka kwa Mola wako Mlezi na muda
- Sisi tumekuwekeeni mauti; na wala Sisi hatushindwi
- Kwani hakuwa yeye tone ya manii lilio shushwa?
- Hakika wasio taraji kukutana nasi, na wakaridhia maisha ya dunia na wakatua nayo, na walio
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Muminun with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Muminun mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Muminun Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers