Surah Fatiha aya 2 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿الْحَمْدُ لِلَّهِ رَبِّ الْعَالَمِينَ﴾
[ الفاتحة: 2]
Sifa njema zote ni za Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
Surah Al-Fatihah in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
[All] praise is [due] to Allah, Lord of the worlds -
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote;
Sifa njema za namna yote na katika kila hali ni za Mwenyezi Mungu pekee. Na tunamsifu Yeye kwa sifa zote kwa sababu Yeye ndiye mwenye kuviumba viumbe vyote na mwenye kuviangalia na kuvilea. (Neno Rabb, kwa Kiarabu, lina maana ya Ubwana na Ulezi na Utengenezaji. Ndiyo tukatumia Mola Mlezi. Neno Baba lina upungufu.)
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Hakika tumekutuma wewe uwe Shahidi, na Mbashiri, na Mwonyaji,
- Je, nimtafute hakimu ghairi ya Mwenyezi Mungu, naye ndiye aliye kuteremshieni Kitabu kilicho elezwa waziwazi?
- Na bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anaye kumbuka?
- Wala usiufanye mkono wako kama ulio fungwa shingoni mwako, wala usiukunjue wote kabisa, utabaki ukilaumiwa
- Yeye ndiye aliye kuteremshia Kitabu hichi. Ndani yake zimo Aya muhkam, zenye maana wazi. Hizo
- Na hawa hawangojei ila ukelele mmoja tu usio na muda.
- Na kadhaalika hao washirika wao wamewapambia wengi katika washirikina kuwauwa watoto wao ili kuwaangamiza na
- Wakasema wale wanao jivuna: Sisi tunayakataa hayo mnayo yaamini.
- Hayatamfaa mali yake, wala alivyo vichuma.
- Na pia Qaruni na Firauni na Hamana! Na Musa aliwajia kwa Ishara waziwazi, lakini walijivuna
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Fatiha with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Fatiha mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Fatiha Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers