Surah Ibrahim aya 26 , Swahili translation of the meaning Ayah.
﴿وَمَثَلُ كَلِمَةٍ خَبِيثَةٍ كَشَجَرَةٍ خَبِيثَةٍ اجْتُثَّتْ مِن فَوْقِ الْأَرْضِ مَا لَهَا مِن قَرَارٍ﴾
[ إبراهيم: 26]
Na mfano wa neno ovu ni kama mti muovu, ulio ng'olewa juu ya ardhi. Hauna imara.
Surah Ibrahim in SwahiliSwahili Translation - Al-Barwani
English - Sahih International
And the example of a bad word is like a bad tree, uprooted from the surface of the earth, not having any stability.
Tafsiri ya maana yake kwenye lugha ya Kiswahili
Na mfano wa neno ovu ni kama mti muovu, ulio ngolewa juu ya ardhi. Hauna imara.
Neno la uwongo baya mfano wake ni kama mti mbaya ulio ngolewa, umetupwa juu ya ardhi. Haukusimama imara. Hali kadhaalika neno la uwongo lilio kataliwa halina uthabiti, kwa kuwa halikuungwa mkono na hoja.
English | Türkçe | Indonesia |
Русский | Français | فارسی |
تفسير | Bengali | Urdu |
Ayats from Quran in Swahili
- Na kwa mwezi unapo pevuka,
- Mwenyezi Mungu hufuta na huthibitisha ayatakayo. Na asili ya hukumu zote iko kwake.
- Na ambao wanazitimiza amana zao na ahadi zao,
- Sisi tumewaumba, na tukavitia nguvu viungo vyao. Na tukitaka tutawabadilisha mfano wao wawe badala yao.
- Na lau kuwa tumewaamrisha: Jiueni, au tokeni majumbani kwenu, wasingeli fanya hayo ila wachache tu
- Wallahi! Kwa yakini tulikuwa katika upotovu ulio dhaahiri,
- Na vumilia hayo wayasemayo, na jitenge nao kwa vizuri.
- Na nini kitakacho kujuulisha siku ya kupambanua ni nini?
- Hayo ni ili alifanye lile analo litia Shet'ani liwe ni fitna kwa wale wenye maradhi
- Na ambaye amewafyonya wazazi wake na akawaambia: Ati ndio mnanitisha kuwa nitafufuliwa, na hali vizazi
Quran Surah in Swahili :
Download Surah Ibrahim with the voice of the most famous Quran reciters :
Surah Ibrahim mp3 : choose the reciter to listen and download the chapter Ibrahim Complete with high quality
Ahmed Al Ajmy
Bandar Balila
Khalid Al Jalil
Saad Al Ghamdi
Saud Al Shuraim
Abdul Basit
Ammar Al-Mulla
Abdullah Basfar
Abdullah Al Juhani
Fares Abbad
Maher Al Muaiqly
Al Minshawi
Al Hosary
Mishari Al-afasi
Yasser Al Dosari
Please remember us in your sincere prayers